A five-year analysis of DHIS2 data highlights the burden of occupational HIV exposure among healthcare workers in Tanzania and identifies gaps in HIV post-exposure prophylaxis (PEP) completion.
Utafiti mpya kutoka Mbarara University of Science and Technology nchini Uganda umetumia modeli ya kihisabati kuchunguza maambukizi ya pamoja ya kifua kikuu (TB) na Hepatitis C (HCV), na kubaini kuwa uhamasishaji, utambuzi wa mapema na matibabu vinaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa mzigo wa maambukizi haya.
Utafiti mpya uliofanyika Exmoor, kusini-magharibi mwa Uingereza, umeonesha kiwango kikubwa cha wanyamapori aina ya kulungu kuathiriwa na Mycobacterium bovis, na kusisitiza umuhimu wa ufuatiliaji wa magonjwa kwa kuzingatia mtazamo wa Afya Moja (One Health).
Scabies kwa watoto wachanga inaweza kufanana sana na eczema na kusababisha kuchelewa kwa utambuzi. Wazazi na wahudumu wa afya wanashauriwa kuzingatia scabies hasa pale mtoto anapokuwa na muwasho mkali na matibabu ya eczema kutosaidia.
SOHICOHE highlights the 2026 hantavirus outbreak linked to the MV Hondius cruise ship as a warning that rare zoonotic diseases can travel across borders, expose preparedness gaps, and require stronger One Health surveillance from the community level to international response.
Utafiti mpya unaonesha kuwa Marburg virus disease inaweza kuendelea kuwepo mwilini baada ya kupona, hasa katika mfumo wa uzazi wa mwanaume, na huenda ikaathiri uwezo wa uzazi pamoja na kuhitaji ufuatiliaji wa muda mrefu.
The World Health Organization invites stakeholders to review and provide feedback on the draft Global Action Plan on Skin Diseases (2026–2035) before 10 May 2026. World Health Organization inakaribisha wadau kutoa maoni kuhusu rasimu ya Mpango wa Kimataifa wa Magonjwa ya Ngozi (2026–2035) kabla ya tarehe 10 Mei 2026.
A study from Southern Ethiopia shows delays in detecting measles outbreaks despite timely reporting, highlighting the need for stronger community surveillance systems. Utafiti kutoka Southern Ethiopia umeonyesha ucheleweshaji katika kugundua milipuko ya surua licha ya taarifa kutolewa kwa wakati, ukisisitiza umuhimu wa kuimarisha ufuatiliaji ngazi ya jamii.
Utafiti wa hivi karibuni umeonesha kuwa Tuberculosis (TB) bado ni changamoto kubwa ya afya ya umma duniani, huku kukiwa na ongezeko la visa katika baadhi ya nchi na kuendelea kwa maambukizi katika maeneo mengine. Utafiti huu, uliofanywa na Idisi Isaiah Oke na wenzake, unawasilisha modeli mpya inayojumuisha si tu mienendo ya maambukizi ya ugonjwa, bali pia mchango wa tabia za jamii na mazingira katika kusambaa kwa TB. Modeli hiyo inaonesha kuwa uelewa wa jamii, unaochochewa na elimu ya afya na vyombo vya habari, unaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa kasi ya maambukizi. Aidha, uwepo wa vimelea vya TB katika mazingira umeonekana kuwa na mchango muhimu katika kuendelea kwa maambukizi.
Tunapoadhimisha Siku ya Dunia ya Magonjwa Yaliyopuuzwa (NTDs), SOHICOHE tunawasilisha ushahidi muhimu kutoka Nyasa—ukiwezesha kubuni afua za kudhibiti fukundu na kuimarisha ufuatiliaji wa NTDs kuelekea 2030